Follow by Email

Friday, September 21, 2012

NAIBU WAZIRI AKABIDHI KIBALI MWAKILISHI WA HESHIMA KUTOKA AUSTRALIA

Mhe. Mahadhi Juma Maalim (Mb.), Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akimkabidhi Bw. Thierry Murcia, kibali cha kuwa Mwakilishi wa Heshima wa Australia nchini Tanzania. Makabidhiano hayo yalifanyika Ofisini kwa Mhe. Naibu Waziri leo.

Mhe. Naibu Waziri (katikati) akimsikiliza kwa makini Bw. Murcia (kushoto). Mwingine katika picha ni Bw. Japhet Mwaisupule, Afisa Mwandamizi kutoka Idara ya Itifaki hapa Wizarani.

Mhe. Naibu Waziri akibadilishana mawazo na Bw. Murcia kuhusu masuala mbalimbali mara baada ya kumkabidhi kibali.

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.