Follow by Email

Friday, September 21, 2012

BALOZI WA INDONESIA AMUAGA MHE. WAZIRI MEMBE

Mhe. Bernard K. Membe (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akimkaribisha Ofisini kwake Mhe. Yudhistranto Sungadi, Balozi wa Indonesia aliyefika kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi hapa nchini.

Mhe. Waziri Membe akizungumza na Mhe. Balozi Sungadi.

Mhe. Waziri Membe akipata picha ya kumbukumbu na Mhe. Balozi Sungadi mara baada ya kumaliza mazungumzo yao.

Mhe. Waziri akiagana rasmi na Mhe. Balozi Sungadi kabla ya Balozi huyo kuondoka.

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.