Follow by Email

Friday, September 21, 2012

BALOZI MTEULE WA JAMHURI YA KOREA AWASILISHA NAKALA ZA HATI ZA UTAMBULISHO KWA WAZIRI

Mhe. Bernard K. Membe (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akipokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Mhe. Chung IL, Balozi Mteule wa Jamhuri ya Korea hapa nchini. Hafla hiyo ilifanyika Ofisini kwa Mhe. Waziri leo tarehe 21 Septemba, 2012.
Mhe. Membe akizungumza na Mhe. IL, Balozi Mteule wa Jamhuriya Korea hapa nchini mara baada ya kuwasilisha Nakala za Utambulisho.

Mhe. Waziri Membe akiagana ba Mhe. IL, Balozi wa Jamhuri ya Korea hapa nchini mara baada ya Balozi huyo kuwasilisha Nakala za Hati za Utambulisho. Mwingine katika picha ni Bw. Songtae OH, Naibu Balozi.wa Jamhuri ya Korea.

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.