Follow by Email

Wednesday, August 8, 2012

Waziri Mkuu wa Zimbabwe awasili nchini


Mhe. Bernard K. Membe (MB), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa (pichani kulia) akimpokea Mhe. Morgan Richard Tsvangirai, Waziri Mkuu wa Zimbabwe aliyewasili leo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.  Mhe. Waziri Mkuu Tsvangirai atakuwa nchini kwa ziara ya kikazi na anatarajiwa kukutana kwa amazungumzo na Mheshimiwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kesho Ikulu, jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.