Follow by Email

Friday, August 10, 2012

Rais Kikwete, Waziri Membe wahudhuria mazishi ya Rais Mills wa Ghana
Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akisaini kitabu cha maombolezo cha Rais John Evans Atta Mills wa Ghana katika Ukumbi wa Mikutano mjini Accra, Ghana.  Mazishi hayo yalihudhuriwa na viongozi mbalimbali, akiwemo Mhe. Bernard K. Membe (MB) (wa pili kushoto), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.  


Heshima za mwisho za kumuaga aliyekuwa Rais wa Ghana, Professa John Evans Atta Mills kwenye Uwanja wa Independence Square jijini Accra, Ghana.  (Picha zote na Issa Michuzi)


No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.