Follow by Email

Saturday, July 14, 2012

Ujumbe wa Tanzania kwenye Mkutano wa Umoja wa Afrika


Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania akisikiliza kikao cha Amani na Usalama cha umoja wa Afrika leo katika Makao Makuu ya Umoja huo Addis Ababa Ethiopia. Mhe Rais Kikwete anaongoza ujumbe wa Tanzania katika umoja huu.


Balozi wa Tanzania kwenye Umoja wa Afrika, Balozi Joram Mkama Biswaro akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Malawi, Mhe Mganda Chiume (MB.) walipokutano katika Mkutano unaoendelea wa wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika hapa Addis Ababa Ethiopia.Wa kwanza kulia ni katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Malawi.

Jengo Jipya la Umoja wa Afrika ambapo Mkutano wa Wakuu wa nchi na Serikali wa Umoja huo wanahudhuria.


No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.