Follow by Email

Friday, July 20, 2012

Updates kuhusu Meli iliyozama Zanzibar

Maiti walioopolewa katika ajali ya meli sasa wamefikia 65. Juhudi za kutafuta maiti wengine zinaendelea katika eneo karibu na Kisiwa cha Chumbe ambapo meli ijulikanayo kama MV Skagit ilizama.

Aidha, katika ajali hiyo, kuna mtalii mmoja ambaye amefariki pamoja na watalii 11 ambao waliokolewa katika ajali hiyo kutoka nchi za Uholanzi, Ubelgiji, Marekani pamoja na Ujerumani.

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.