Follow by Email

Thursday, June 14, 2012

Waziri Membe Kukutana na Wandishi Jumatatu

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe anatarajiwa kufanya mkutano na Waandishi wa Habari tarehe 18 June, 2012 katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa jijini Dar es salaam.

Waandishi wote wanakaribishwa.

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.