Follow by Email

Thursday, June 14, 2012Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais wa Rais, Mhe. Dakta Mohamed Gharib Bilal, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe (Mb.), Naibu Waziri, Mhe. Mahadhi Juma Maalim, Katibu Mkuu Kiongozi, Mhe Balozi Ombeni Sefue wakiwa na Mabalozi na Wakuu wa Idara wapya walioapishwa tarehe 11 Juni, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.

Siku ya kwanza Ofisini. Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia, Balozi Mbelwa Kairuki akionga na Balozi wa Japan nchini Tanzania siku moja baada ya kuapishwa. Kabla ya kuteuli, Balozi Mbelwa alikuwa Msaidizi wa Rais (Hotuba).

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.