Follow by Email

Friday, April 27, 2012

Rais Kibaki ahudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa EAC
Rais wa Kenya, Mhe. Mwai Kibaki, akipokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (MB), mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) mjini Arusha jana.  Rais Kibaki anahudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki unaofanyika leo tarehe 28 Aprili 2012.Rais Kibaki wa Kenya, akitumbuizwa na burudani ya ngoma mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) jana mjini Arusha.


Rais Kibaki wa Kenya (katikati), akiwa na wenyeji wake Mhe. Membe (kulia) na Mhe. Samuel Sitta (kushoto), Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, mara baada ya kuwasili jana mjini Arusha.No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.