Follow by Email

Thursday, December 8, 2011

Leaders arriving for the 50 years of Independence celebrations: Malawi

Waziri Membe, akimtambulisha Rais wa Malawi Mhe. Bingu wa Mutharika, kwa viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili mjini Dar es salaam leo. Rais Mutharika amepokelewa pia na Mhe. Profesa Jumanne Maghembe, Waziri wa Kilimo wa Tanzania. Rais Bingu wa Mutharika amefuatana na ujumbe wa watu 15 kuhudhuria sherehe za miaka 50 ya uhuru wa Tanzania Bara hapo kesho tarehe 9.12.2011.No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.