Follow by Email

Wednesday, November 30, 2011

Membe akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman

Mhe. Bernard Membe akiwasilisha ujumbe maalum kutoka kwa Mhe. Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwenda kwa Mtukufu Sultan Qaboos wa Oman kwa Mhe. Yousef Alawi Bin Abdallah Waziri Anayeshughulikia Mambo ya Nje wa Oman mjini Muscat leo.
Waziri Membe akiwa na ujumbe wake Mjini Muscat leo tarehe 30.11.2011. Waliombatana na Waziri ni Bw. Abdallah Kilima, (Wa pili kushoto) Kaimu Balozi wa Tanzania Oman na Bw. Christopher Mvula (wa Kwanza Kushoto), Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Ujumbe wa Serikali ya Oman

Mhe. Bernard Membe akiwa kwenye mazungumzo na mwenyeji wake Mhe. Yousef Alawi Bin Abdallah Waziri Anayeshughulikia Mambo ya Nje wa Oman mjini Muscat leo tarehe 30.11.2011No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.