Follow by Email

Monday, November 21, 2011

Balozi Mdogo wa Oman Zanzibar akabidhi nakala za Utambulisho Leo

Mhe. Bernard Membe, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akipokea nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Mhe. Mansour Bin Nasir Al - Busaeedi Balozi mdogo wa Oman Zanzibar ofisini kwake leo mchana. 

Waziri Membe kwenye mazungumzo na Balozi mdogo wa Oman Zanzibar Mhe. Mansour Bin Nasir Al-Busaeedi baada ya kukabidhi nakala za Hati za Utambulisho kwa Waziri Membe leo mchana tarehe 21.11.2011Waziri Membe kwenye picha ya pamoja na Balozi Mdogo wa Oman Zanzibar Mhe. Mansour Bin Nasir Al-Busaeedi na Balozi Mohamed Hamza Mkurugenzi wa Idara ya Mambo ya Nje Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.